Mambo yasiwe mengi.
Yani ID zile za zamani za wadada wakali hatuzioni sasa unakuta kuna ID mpya ya mdada uki click profile unaona ni wa 2013, 2014, 2015 au 16 lakini jina hujawahi kuliona JF.
Hapo sasa unaanza kujiuliza hivi huyu hawezi kuwa member wa zamani ambae niliwahi kumtongoza au kumchakata?
Jamani msibadili majina na mkibadili mtuambie ili tusiingie kwenye mtego.
Bro kuna mda unaweza ku delete PM zote halafu ukija kuitafuta ile ID huioniNgoja nikufundishe mbinu ya kibazazi siku moja uje unishukuru kaka yako...
Ukiona pisi yenye ID kali unaitumia PM, si lazima ajibu...
Hata akibadili ID mara mia, bazazi unakuwa na nyaraka ya siri tayari...
Bro kuna mda unaweza ku delete PM zote halafu ukija kuitafuta ile ID huioni
Mnakwama wapi nyie vijana. Hawa ndo wale wale wa huko street. Tunaishi naoKumbe humu kuna watu baadae wanakuja kujuana mpaka kulana!
Mkuu,mimi sio kijana.Mnakwama wapi nyie vijana. Hawa ndo wale wale wa huko street. Tunaishi nao
Wadada wapo humu ili watongozwe?Mambo yasiwe mengi.
Yani ID zile za zamani za wadada wakali hatuzioni sasa unakuta kuna ID mpya ya mdada uki click profile unaona ni wa 2013, 2014, 2015 au 16 lakini jina hujawahi kuliona JF.
Hapo sasa unaanza kujiuliza hivi huyu hawezi kuwa member wa zamani ambae niliwahi kumtongoza au kumchakata?
Jamani msibadili majina na mkibadili mtuambie ili tusiingie kwenye mtego.
Mfano hawa akina Palina Bantu Lady Makiwendo n.k
Nisamehe mkuu. Nilisahau kama MMU ni kwa wote!Mkuu,mimi sio kijana.
Kumbe humu ndio MMUNisamehe mkuu. Nilisahau kama MMU ni kwa wote!