Wanawake wa JF tukutane hapa

Eheee,,halaf kuna demu alikua wa Aslay alidedi na ngoma,,na alikaa nae muda mrefu kweli
Umeona kademu kake ka sasa hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kale katoto nako kabayaaa... Naima alimchora tattoo mkononi kwa mahaba alokua nayo kwa yule mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…