Wanawake wa JF tukutane hapa

Naima yule alikuwa ameolewa na mtoto wa boss wa kunyumba utakuwa unamjua saad yaan mwanaume alikuwa anampenda jaman ye kila kukicha kutembea na wanamuziki mara chaz baba anakuja nao kabisa pale tunaona usiku yule mdada kashindikana jaman
Namjua si yule alozaa nae?? yule kaka kateswa sana na Naima. Naona keshamsahau sasa hivi maana Naima alikua anaenda kulala na wanaume yule kaka anaambiwa anaenda kumchukua Naima anamgomea kabisa
 
M niliwahi kutana nae ila sio jf ...hakika yule kaka mzuri hadi kitandani yaan ni balaaa sana ...sema niliona jam anatongozwa ovyo ovyo tuu na wadada nkaamua kujikataa maan niliona ntapata pneumonia kwenye moyo
Wapo wakaka mahb ila sinaga mzuka nao kabisa
 
Naima yule alikuwa ameolewa na mtoto wa boss wa kunyumba utakuwa unamjua saad yaan mwanaume alikuwa anampenda jaman ye kila kukicha kutembea na wanamuziki mara chaz baba anakuja nao kabisa pale tunaona usiku yule mdada kashindikana jaman
Boss yupi huyo? Kabla hajakutana na CK? Hivi na manyika alifunga nae ndoa kweli au mbwembwe tu?
 
Boss yupi huyo? Kabla hajakutana na CK? Hivi na manyika alifunga nae ndoa kweli au mbwembwe tu?
Alikua mume wake wa ndoa, hiyo kabla hajakutana na CK.. yule kaka alishawahi kwenda kumuomba CK amuachie mke wake. Manyika itakua mbwembwe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…