theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Nikweli unafikiri uongo ngoja nikupe like kabisaa, wambeya wakupindukia.Jf ina wanawake wambeya sijapata wahi ona......
Samahani kwa kuwaingilia katika mjadala wenu.....
Nilikuwa napita tu nikaona si mbaya kuacha neno....
Sio mimi...kwa kupondwa huko unafikiri muhusika anaweza kujitaja?Kumbe ni wewe RRONDO sasa kwa nini alikuwa anakwepa kunitajia jaman
sure kabisa mkuu..... sometimes huwa najiuliza hivi hawa wanaweza olewa kwelii....Nikweli unafikiri uongo ngoja nikupe like kabisaa, wambeya wakupindukia.
Mi me enyewe huwa nawashangaa majunguu matupu ukizingatia ni I'd fake
Appetite utaipata ukifika 30 mdogo mdogo ata sura ngumu utamwona hendisamMwanaume style za akina patoranking ndo huwa napenda hao na ninapata appetite balaa yan
Sheeeh.. TabalaaTeh teh teh
Kichwa ka embe du[emoji23] [emoji23]
Tuombe radhi wanaumeWanawake Wa Jf warembo asikwambie MTU. Ila wanaume Wa Jf sura mbayaaa but kitabu kipo
Mchachu[emoji23] [emoji23] [emoji23]mie mwanamume mchachu nampenda jaman sema wamekuwa adimu pyee
Ha ki anani wanawake mmetuchoka sasa sio kwa matusi hayaSisi tunaokaa na mabosi wa tanzania huku Dodoma kila saa tunapishana nao kama njugu na unajichagulia tu sema huwa wanajishaua sana na kitandani sifuri
Huh!! Hivi kumbe ni wewe!! Nilikuwa sijajua bwana!
Unaniongelea mimi dadaHahaa hao ndo wasimamia ad kucha unakuta Mdada mremboo kanasa pale ...machine
Ooh kumbeUnaniongelea mimi dada
Huwa nikimgonga demu atalala masaa 6Ooh kumbe