Mbn sura ngumu ndo tamu zangu mkuuAppetite utaipata ukifika 30 mdogo mdogo ata sura ngumu utamwona hendisam
Kuna nini humu ndani mbona pages nyingi sana, embu summarise nipate kujua kilichojiri dearHuh!! Hivi kumbe ni wewe!! Nilikuwa sijajua bwana!
Huh!! Hivi kumbe ni wewe!! Nilikuwa sijajua bwana!
Hahqhahaha patoranking ndo super HB kwangu huyo linex pia ndo type zangu hizoPatoranking sio mbaya ujue, wabaya ni kama Linex, juma nyoso
Kama ulikuwepo bht nzuri kipibdi iko nilikuwa si haba mashalaaaah loh walivyokuwa wakifika wanageuza wao eti loh kwa uzuri ule lazima jamaa adateHahahah halafu wanakua wanajilinganisha na wew ...ilimradi ni tafraan tuu
Miss you sana sura chachu zipo humu jf nshaona km 5 abaetaka anifate maana uzuri wa wale watu wanajua kupeti jamani hadi rahamie mwanamume mchachu nampenda jaman sema wamekuwa adimu pyee
HahahaKama ulikuwepo bht nzuri kipibdi iko nilikuwa si haba mashalaaaah loh walivyokuwa wakifika wanageuza wao eti loh kwa uzuri ule lazima jamaa adate
Kuna mahandsome kama hiyo picha uloiona hapo.Kuna nini humu ndani mbona pages nyingi sana, embu summarise nipate kujua kilichojiri dear
Oooh kumbe!!!Tena umenipendelea, kichwa kama papai sio embe!
Ooh OkeyKuna mahandsome kama hiyo picha uloiona hapo.
Kusalimia hakuna shida. Lakini wengine wanaingia na kutoa povuKwani kuwasalimia kuna shida
Hebu tuanze na wewe, uloonana nao ni mahandsome?Ooh Okey
Sasa vipi wadada wanasemaje kuhusu hilo wapo ama hawapo?
Maana kuna sehemu nimeona kuna mmoja anakichwa kama embe mbovu ahahahaaaaaa Evelyn Salt Mungu anakuona ujue
Mie sijafanikiwa kuonana nao, nimeonana na wadada tuu warembo hatariHebu tuanze na wewe, uloonana nao ni mahandsome?
HahahaTuombe radhi wanaume
wapo pale salamander kwa wazungu ,samora avenueMie sijafanikiwa kuonana nao, nimeonana na wadada tuu warembo hatari
Sura chache sharti awe na body na pochi isiwe imesinyaa.. lazima udate.Miss you sana sura chachu zipo humu jf nshaona km 5 abaetaka anifate maana uzuri wa wale watu wanajua kupeti jamani hadi raha
SawaMbn sura ngumu ndo tamu zangu mkuu
Wewe ni bikra au??? Ukute mileage inasoma 1.5 million km plus, wengine hapa ni spare tyre but jeuri na viburi kumbe km zenu zimepitisha hadi bichwa za watoto..[emoji41][emoji41][emoji41]Sura chache sharti awe na body na pochi isiwe imesinyaa.. lazima udate.
Mbona nyie mumekodi sura kwenye avatar zenu, siyo lazima uweke yako but why isiweke sura mbaya ya mtu mwingine inayoendana na wewe...!Hebu tuanze na wewe, uloonana nao ni mahandsome?