Wanawake wa JF tukutane hapa

Ahahahahah
Ukikuta wa hivi na kitandani yuko poa wachache sana,,wengi wao hovyo halaf kuringa sasa eheheh kama anamiliki mgodi kumbe anamiliki kibamia kitakatifu dakika moja chali
Hahahaaaaaaa kabisaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mie na mtambo balaa huwa wanaomba sabu dk 3 hayupo nikikutana naye mtaani anachagua njia
 
Unapenda wanene?????....

Wanene mbona wana sifa ya uzembe ......utaweza kweli kuridhishwa??????......ha ha haaa
Angalia picha ya huyo mkaka kisha ndio useme ni mnene au la
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…