Wanawake wa JF tukutane hapa

Na uzuri hivyo unavyomuona hapo hawezi kumiliki mke, wa aina hiyo wanapenda sana zile mambo za 0713 na aende amdanganye kaka yake au baba ampe hela akupeleke sehem mle bata basi akiona unakuja na makubwa anatafuta visa anakuacha
Huyo sio mzembe mzembe mkuu... huyo ex gf wake alikua kisu hatarii yani kummliki mtoto kama yule ilikua sio jambo dogo sema wajanja wakamuwahi wakampeleka demu China
 
Mama Sabrina unapenda HB wewe eti!!! Mi hawanivutiagi hata kiduchu wala kunisisimua, humu sijakutana na mtu yeyote ila kuna mkaka alituma pic yake pm ebana eh HB wa adabu
Eti alikuwa nani huyo my sweetheart
 
Na uzuri hivyo unavyomuona hapo hawezi kumiliki mke, wa aina hiyo wanapenda sana zile mambo za 0713 na aende amdanganye kaka yake au baba ampe hela akupeleke sehem mle bata basi akiona unakuja na makubwa anatafuta visa anakuacha
Sio lazima ufe nae,,,unapita tu kama njia na kuendelea na safari yako,,,unaweza kuta kaoa huwezi jua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…