Wanawake wa JF!!

Hee, utuoe wote? Wengine wake za watu.

Usione vinaelea, babu wee, vimeundwa!
 
Mjanja wa mapenzi wala mwenyewe hajisifii na wala hajielewi NASSOR JANGWA MTANDAONI.

Kaka mbona unaifanya kufru, unatangaza "porn" na "Qur'an" pamoja kwenye ukurasa huohuo wa hiyo link uliyotuwekea? Haifai hivyo. (AstaghafiruLlah). Nimekuta hivii:

"Extreme Hot Porn - Free Preview vids


KARIBU KATIKA UKURASA HUU. UTAPATA HABARI ZA KITAIFA NA KIMATAIFA, MAGAZETI YA LEO, DOWNLOAD QURAN MP3 NA MAFAILI YA MUZIKI TOFAUTI HAPA. Ukurasa huu umetengenezwa na Nassor Kassim Jangwa."
 
Hee, utuoe wote? Wengine wake za watu.
Usione vinaelea, babu wee, vimeundwa!
Siku zote wazungu walishasema hata sisi waswahili tulisha sema misemo hii,Kizuri kula na nduguyo,Sharing is caring!Kwani mimi sijaundwa..au umeona sielei?
 
Afrodenzi Kuhusu wakaka wa JF kuna siled imefunguliwa na mtu hivyo nimejibu huko hapa ni wanawake wa jf don't mixer up da ting!
 

umeona ae..
nimeingia huko mmmhh
 
Siku zote wazungu walishasema hata sisi waswahili tulisha sema misemo hii,Kizuri kula na nduguyo,Sharing is caring!Kwani mimi sijaundwa..au umeona sielei?

Zinaa, haram, kwa dini zote. Aku mie simo babu wee!
 
Thanx KK ila utatuweza wote sisi? ma-experience mchanganyiko, utaishiwa kuchanganyikiwa bure
 
Duh huko ni balaa kk na wewe unaingiaga humo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…