Uchaguzi 2020 Wanawake wa Jiji la Mbeya wamlipia fomu Mbunge wa milele wa jimbo hilo, Joseph Mbilinyi(Sugu) na kumpelekea nyumbani kwake

Haya sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siasa Kama movie vile jamani[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sugu moto juu kwishney!! yule mvuta bangi atakuwa meneja wa hoteli yake soon!!

Tukishindwa kuhesabu kura za Tulia basi DED atasaidia!! Tukishindwa kujaza kura za Tulia basi DED atazijaza!!

Sugu ni mhuni plus na hajafanya chochote kwa wanambeya zaidi ya kuropoka bungeni tu!! sijui ni lini wanambeya watakuwa na akili timamu!! Sugu must go back to the Studio with P Funk Majani (Bange)!

You must watch the video below to understand who is Sugu in real world!! akija jukwaani ni fake Sugu!!

 
Ila miongoni mwa Majimbo yatakayokuwa na Ushindani mkubwa kati ya Chadema na CCM ni Jimbo la Mbeya Mjini......,...SUGU TULIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…