Wanawake wa kahama

we unatongoza machangu halafu unajisifu, machangu hata ukitongoza 100 hamna atakaye kataa wala kusema nipe muda nikajifikirie, we mwanamke unakaa nae hoteli ujue changu huyo mstaarabu angekumbuka kurudi nyumbani.
nenda kajipange
Tutole uzinzi wako unatongoza malaya halfu unajisifu we ni mjinga kwelikweli ufahamu wako wote umefunikwa na uasherati Mungu akusaidie sana kupitia mwanae Yesu ukapate kuijua njia ya uzima na kuacha kujisifu kwa ajiri ya uzinzi
 
Tutole uzinzi wako unatongoza malaya halfu unajisifu we ni mjinga kwelikweli ufahamu wako wote umefunikwa na uasherati Mungu akusaidie sana kupitia mwanae Yesu ukapate kuijua njia ya uzima na kuacha kujisifu kwa ajiri ya uzinzi
Asante, naomba Mungu anisamehe.
 

Punguza kasi mkuu. Kamdudu kamejaa sana hapo Kahama.
 
Wamekuja vizuri sana. Sina cha kuongeza zaidi ya kukujulisha kuwa kuwa great thinker ni pamoja na kutoa taarifa ya kitafiti. Sio unakutana na watu wanne kisha unatangaza ulichokiona. Kwetu Pazuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 

mtoa mada acha upuuzi wewe.... kahama ndio nyumbani mimi japo huwa nasafiri safiri.. kwanza we muongo hakuna hoteli kahama inayoitwa rocky hill... kwa jina linalofanana na hilo ni rocky point... kahama ni mji wa pesa na wapuuzi na washamba kama wewe mkifika na kuona mabinti kutoka nchi za jirani kama rwanda ambao wamekuja kutafuta maisha kwa kujiuza basi wakikukubalia ndo unadhani wotte wanawke waishio kahama ni malaya... wewe mbangaizaji wa madini huna uwezo wa kumpata demu halisi wa kahama... labda awe bar maid.
 
We mshamba kweli, watu wametembea dunia nzima na wanaishi kahama, we unafikiri dar nini hasa, ulisha fika nchi gani wewe
 
limbukeni wa mapenzi wewe, we umetembea wapi Tanzania hii, unaleta dharau kwa kufika kahama na kuona wanawake wanakukubali kirahis, wana lengo lao wakikuliza utarudi kwenu na kandamabili-chezea malaya utaona kitakachofuata
 
Katongoze arusha uwatongoze kwa mzaha uone ngeu zake,ni bora kugongwa na greda
 
we unatongoza machangu halafu unajisifu, machangu hata ukitongoza 100 hamna atakaye kataa wala kusema nipe muda nikajifikirie, we mwanamke unakaa nae hoteli ujue changu huyo mstaarabu angekumbuka kurudi nyumbani.
nenda kajipange

Tatizo la kutumia wrong sample na kufanya conclusion ni sawa na kusema uongo kwa asilimia mia.
 
limbukeni wa mapenzi wewe, we umetembea wapi Tanzania hii, unaleta dharau kwa kufika kahama na kuona wanawake wanakukubali kirahis, wana lengo lao wakikuliza utarudi kwenu na kandamabili-chezea malaya utaona kitakachofuata

Jamaa naona hajapata somo kutoka kwa naibu waziri wa nishati na madini pale mji kasoro bahari.
 
Pole wee, umevamia wanaofanana na wewe sasa kwanini wakukatae?? Mind u..... kahama ni mji wa biashara kuna makabila mengi na wakambizi wakutosha, so usione mtu anabonga kisukuma ukadhani na yeye ni msukuma......kuna watu wamegota hapa miaka nenda rudi kwa sababu ya upatikanaji wa faranga!
 

Sina swali.
 
acha kabisa hiyo tabia ya kutonoza ovyo, mwanaume wa kisukuma akikuta na mwanamke wake ni dharau kubwa sana kwake na option pekee aliyonayo ni kukuua whether kwa panga, fimbo au kukunyonga. Usirudie huo mchezo
 

Sio ushoga tu udemudemu hasa. Hebu zingatia nilipoweka bold halafu uone ujinga wako.
Umesema (kwenye main topic) kuwa hujui kama wanakupapatikia wewe au watu wote, halafu wewe huyo huyo unatuambia tena kuwa Kahama ni mji wa madini kwa hiyo wakimuona mtu mgeni wanajua watapata fedha, sasa kumbe unajua KILA MGENI ANAKUBALIWA KIRAHISI, mbona unauliza kama ni wewe tu kama sio kujishaua?
 
kahama , kakola , geita , nyamongo ni maeneo ya utafutaji kwa hiyo utakaye muona huko anakuwa na malengo kama yako si mwanamke wala mwanaume , wenyeji wa hapo hasa wamebaki wachache

la pili uwe makini ugonjwa wa ukimwi huko ni kama pumzi unayoivuta karibu kila mtu anao hivyo kuwa makini uzinzi hauna sifa tena ; sana sana ni kifo

wabeja kurumba !
 
ngoja nikajaribu maana kesho napita hapo kwenda kagera if not true,jitoe mwenyewe jf.
 
inasikitisha kama ni kweli dada zetu imefika mahali wanajirahisisha hivyo! lakini na wewe mpaka utongoze wote hao inaonyesha wazi hujatulia. kama unapenda sana hiyo mambo tafuta kimwana mvishe pete uvute ndani, Acha kuhangaika. mwisho wa uovu aibu mwana!!
 
naona demu ni wewe, manake ulivyoninyamba, utafikiri mwimba taarab, hadi vidole utakuwa uliweka juu wakati wa kuandika post hii. punguza hasira, wanaume hawana mahasira ya kike kike kama wewe. unajuaje kama nilikuwa nimeframe tu hii topic yote? nyambafuuuuuuuuuuuu!
 

Imekula kwako kaka weng wapo after money..? Nying zinapiga biashara hapo uwe unauriza kwanza kaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…