wewe usipotoshe wenzio hapa
wanaume wa kiafrika kwa miaka mingi tuna ruhusiwa kuwa na wake wengi
utamaduni wa kuwa na mwanamke mmoja sio wa kiafrika
umeletwa na wazungu na bado tunajifunza
wale wanaoshindwa sio kuwa wana cheat
bali wanachumbia........
mwanaume wa kiafica ha-cheat
ila anachumbia
off topic the boss....
cheating na ndoa za mitala ni vitu viwili tofauti....kaanzishe mada yako ya wanaume kuoa wake wengi.....
the bottom line hakuna mwanamke ambaye yuko tayari kushare mwanaume wake anayempenda na mwanamke mwingine,wanaofanya hivyo wana sababu zao mainly ikiwa kutojiweza kiuchumi ama insecurity kuwa labda ana watoto tayari.....
so,unaposema unaruhusiwa na nani hasa anayekupa ruhusa hio,by the way culture inaevolve hairemain static ndio maana leo tunavaa nguo sio vibwaya na kutembea uchi kama ilivyokuwa tamaduni.....
........natamani hili somo kila mwanamke apate, hakuna kuoneana kwenye mapenzi siku hizi. Yaani I wish kila mwanamke aambiwe ukiona mumeo anacheat muache. Mimi roho yangu inauma kuona wadada wanakufa bado wadogo sababu ya kuvumilia kwenye ndoa ambayo mume alikuwa cheater.
Tatizo baadhi ya wanawake wanategemea wanaume kiuchumi, hivyo hata mumewe akiwa anacheat inakuwa ngumu kutoka kwenye ndoa.
unaanzisha mada huku uelewa wako mdogo kabisa
unajua tafsiri ya mke???????
unajua culture inayoruhusu ndoa zaidi ya mwanamke mmoja vizuri?
wanawake wangapi matajiri na wanaolewa mitala?
aliekwambia waafrica walitembea uchi zamani ni nnani?
unaijua historia wewe vizuri??????
kwa kweli inatilisha huruma,nina rafiki yangu mnigeria,mume wake ana nyumba ndogo na watoto juu.yeye analijua.maneno yake,i will keep praying to God.divorce in Africa is like a taboo.juzi juzi,huyo mume kapata nyumba ndogo nyengine,bwana ameulizwa,amekubali.bado maneno yake ni yale yale,i will keep praying and talk to pastor.huyo dada hamtegemei kitu huyo mume,ila angalau awe na mume jina,huyo dada ametulia mno,yeye na dini,dini na yeye........natamani hili somo kila mwanamke apate, hakuna kuoneana kwenye mapenzi siku hizi. Yaani I wish kila mwanamke aambiwe ukiona mumeo anacheat muache. Mimi roho yangu inauma kuona wadada wanakufa bado wadogo sababu ya kuvumilia kwenye ndoa ambayo mume alikuwa cheater.
Tatizo baadhi ya wanawake wanategemea wanaume kiuchumi, hivyo hata mumewe akiwa anacheat inakuwa ngumu kutoka kwenye ndoa.
Watu wengine hamna hata haja ya kujaribu kuwaelewa maana hata wenyewe hawajielewi.thanks,uelewa wangu mie mdogo why bother answering my posts.....???hakuna mwanamke anayekubali kushare mwanaume na mwanamke mwingine UNLESS ana sababu either watoto au kiuchumi ni dependent...period...sasa unabisha kuwa hata nguo ni utamaduni tulioletewa??????mnh mie ligi zisizo na kombe siziwezi.....
kwa hiyo hapo The Boss unamaanisha kuwa cheating ni halali. Na kama ni halali (coz unaita kuchumbia), je kwanini huwa wanafumaniwa na wanatozwa faini hata kama hajakutwa na mke wa mtu?wewe usipotoshe wenzio hapawanaume wa kiafrika kwa miaka mingi tuna ruhusiwa kuwa na wake wengiutamaduni wa kuwa na mwanamke mmoja sio wa kiafrikaumeletwa na wazungu na bado tunajifunzawale wanaoshindwa sio kuwa wana cheatbali wanachumbia........mwanaume wa kiafica ha-cheatila anachumbia
mwanaume ni mwanaume tu awe mzungu, mchina mwarabu ama mwafrika. Kuna cheating scandals za kila aina ktk kila race. Kuanzia akina Bill clinton, Schwazzneger, Tiger Woods hadi akina fundi HamisiNi upuuzi tu na kutokujiamini.
Na wanaume wenyewe ndo kama huyo mchangiaji hapo juu.Alafu wanashangaa wadada wakiwapapatikia wazungu (kwa wale wasiokimbilia pesa).
Ni upuuzi tu na kutokujiamini.
Na wanaume wenyewe ndo kama huyo mchangiaji hapo juu.Alafu wanashangaa wadada wakiwapapatikia wazungu (kwa wale wasiokimbilia pesa).
wewe usipotoshe wenzio hapa
wanaume wa kiafrika kwa miaka mingi tuna ruhusiwa kuwa na wake wengi
utamaduni wa kuwa na mwanamke mmoja sio wa kiafrika
umeletwa na wazungu na bado tunajifunza
wale wanaoshindwa sio kuwa wana cheat
bali wanachumbia........
mwanaume wa kiafica ha-cheat
ila anachumbia
Kama mwakumbatia tamaduni, kwanini almost 50% yenu ni wakristu ambao hamruhusiwi kuwa na wake wengi? Kwanini msibaki na dini zenu za kitamaduni? Au huo utamaduni mwauchuja na kupick what to continue with? Pia as s/body mentioned utamaduni unaevolve; na majority wenu wazazi wenu were Christians with ndoa ya kikristu, so where did u learn hiyo poligamy, au wataka kusema mmerithi genes from ancestors?Tamaduni ambayo mmeikuta ni baba zenu kucheat, kuwatishia mama zenu (kuwapiga) na mama zenu kuvumilia; ndicho mlichoexperience na ndicho mnachokifanya!Nampongeza yoyo kwa kupata mume anayemjali (Mzungu), l wish wanawake wa kiafrika wangepata wanaume wa kizungu na nyie waume mpate wanawake wakizungu, ndio akili zingewasogea!But l am sure; with frequency za post zinazozungumzia kero za kina mama ktk ndoa, most women r awakening now!The Boss,Kwa hili, we are on the same page. Umeenda kisomi zaidi kwa kuelezea tofauti ya tamaduni za wazungu na waafrika.
Je hao wote bado wako kwenye ndoa? Or hizo ndoa zinafunction? Kwa case ya Clinton for example, r they real a couple kwa ndani au on the outside tu?Mtoa mada alisema, westerners don't takebulls..t kwenye ndoa n that's y divorce rate ni kubwa tofauti na huku; na mimi nafikiri ndio maana huku rate ya maambukizi ya VVU kwa wenye ndoa ni kubwa kuliko kwa wenzetu! Imagine kina mama unavumilia ndoa for the sake ya watoto after few yrs, unakufa kwa ukimwi!mwanaume ni mwanaume tu awe mzungu, mchina mwarabu ama mwafrika. Kuna cheating scandals za kila aina ktk kila race. Kuanzia akina Bill clinton, Schwazzneger, Tiger Woods hadi akina fundi Hamisi