wanawake wa kiafrica.......

Nyumba kubwa
Najua ni muumuni mkubwa wa ndoa! Lkn naomba nippngane na wewe as to y women remain married to bastards, l mean men who continuasly cheat. Shida kubwa ni fear! Dependence kwa wanaume ni kubwa sana, kiasi kwamba mtu anawaza ataanzaje, pili ni watoto (it happened to my mother, she was given everything to start afresh by my uncles, lkn alibaki because of us), pia imani za baadhi ya dini (mpaka kifo kiwatenganishe, ukidivorce ukapata mwingine, unazini na utaenda motoni) na mwisho ni muonekano wa jamii!

Kurudi kwako, eti ni mapenzi unless uniambie mapenzi yako sio selfish; lkn ya kwangu hasa ninapozimia kwa mtu, kuwa cheated inaniput off sana. Fanyiwa ubaya na mtu usiyempenda, haiumizi lkn somebody dear to u say ur mother; surely it will hurt! Mara moja waweza samehe lkn inajirudia mara kwa mara, u must be naive to go on forgiving; na sababu za kuvumilia zitakuwa nilizotaja hapo juu na so
 

Wanawake wote walioolewa na ambao bado wakibana miguu kwa mwanaume si mume wake basi suala hili ambalo unaliona kama tatizo kwa mwanaume litakwisha: kwa kifupi tatizo la ku-cheat ni mwanamke kusimama mguu upande muda wote!!
 
uko sahihi kabisa Mkuu!
 
very good insight! hillary clinton amebaki na bill mainly for political reasons na ilimpa umaarufu alionao sasa. huyo vic bekham nae ni strategic tu, kuwa na david kunaongezea kidogo umaarufu wa uturi na lotions zake! high time wanawake wa kitanzania kuamka usingizini! nina rafiki, 28 yrs old. ana hbp, on constant medication kwa ajili ya stress ya mume. she is got a very good and paying job, lakini anasema mume wa kuuzia sura mjini. wtf!
 
i am so disappointed in u! if it happened to ur mama, sister or daughter, would u give such a broad smile and tell them to chill out coz its african culture? na ndoa zinazoruhusu mke zaidi ya mmoja zina utaratibu wake nadhani! no excuses!
 
You can practize itasaidia sana kuwafanya muweze kuwa na mawazo ya kujitegemea na kuondoa mawazo potofu ya kujidhalilisha kwa pesa.
 



You have said it all!

However, this does not mean that when women cheat should be accepted!
 
Pretty,
Ukimkimbia mumeo kwa sababu kwamba anacheat, je, huyo unayempelekea ni nani? je, alikuwa anakusubiri ndio aanze kufanya mapenzi au naye atakuua kama ambavyo mumeo angekuua?
 


Ukweli mi siamini sana kwenye talaka maana Mungu anasema "nachukia kuachana" ila maneno hayo niliyobold yamenisikitisha sana.
 
Kwa nini niwe na mke mmoja kwani mimi ni ndege???????????????????????????? Nyumba ndogo poaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
 



Wadada jamani hebu tusisidanganyane katika hili.
Wadada wengi siku hizi wanapenda kuwa na uhusiano na wanaume ambao tayari wako ndani ya ndoa. Nadhani wanaume wenzangu tutakubaliana na hili kabla hujaoa mabinti walikuwa hawajileti sana kama baada ya kuoa.
na kwa mwanaume wa kiafrika kuwa na wake wengi hiyo ni moja ya heshima, hii kusema mke moja ni kuiga mambo ya ugenini. hata ukitaka kuingia kwenye maandiko Mfalme Suleimani alikuwa na wake wengi na masuria (Girl friends) wakutosha.
sasa ninyi mnapotoshana bure.

kama unatimiziwa mahitaji yako ya msingi dont complain ila hakikisha mumeo is playing safe.

Mtazamo tu!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…