The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,675
- 2,807
Taarifa nilizozipata toka kwa kina mama, zinasema wanawake wengi wa kichaga wavivu wa Ku-push na hata kama akipushi hizo kelele zake basi wodi nzima itajua yaani ni, Yesuuuu na Maria, Kiruuuuuu za kutosha, Na wengi wao huwa wanachanika wanapojifungua kawaida.
Ndio sababu wengi wame amua kufanya operation.
Nawaomba wachaga waje kuthibitisha hii habari au yeyote anayefahamu hili jambo vizuri.
Ndio sababu wengi wame amua kufanya operation.
Nawaomba wachaga waje kuthibitisha hii habari au yeyote anayefahamu hili jambo vizuri.