Ongera kaka umemaliza kila kitu, huyu mleta uzi ni miongoni mwa watu wasio jielewa, kwa kifupi ni mpuuzi.Sijapendezwa kabisa na uzi huu. Huwa nakasirika na kusikitishwa sana mtu anapomkejeli mtu kutokana na maumbile yake ya asili Mungu aliyomjalia. Binadamu tumeumbwa tofauti wengine warefu, wafupi, weusi, weupe, walemavu, wanawake, wanaume, nk na tunatofautiana kutoka sehemu moja hadi nyingine kulingana na asili au mazingira aliyotuweka Mungu au tunayoishi tukiwa na tamaduni tofauti.
Kwa ufupi hakuna mtu aliyechagua kuwa jinsi alivyo. Sasa wewe unapomcheka nwenzako ulitaka afanyeje wakati siye yeye aliyeamua kuwa hivyo?! Ni jambo baya sana kuwacheka watu mara mseme wanawake wa kichagga hawana matako makubwa nk. Hivyo ndivyo Mungu alivyoamua sasa wafanyeje?
Kejeki zenu ndizo zimesababisha wanawake kuhangaika na madawa ya kuongeza makalio, kubadili rangi ya ngozi, kope nk mbaya wakiathirika mnaanza kuwacheka tena! Acheni Mungu aitwe Mungu kila Moja aheshimu mwenzake jinsi alivyoumbwa!
Sent using Jamii Forums mobile app
ningependa niwe hapo kwenye kiti#kinafaidi
AminaSijapendezwa kabisa na uzi huu. Huwa nakasirika na kusikitishwa sana mtu anapomkejeli mtu kutokana na maumbile yake ya asili Mungu aliyomjalia. Binadamu tumeumbwa tofauti wengine warefu, wafupi, weusi, weupe, walemavu, wanawake, wanaume, nk na tunatofautiana kutoka sehemu moja hadi nyingine kulingana na asili au mazingira aliyotuweka Mungu au tunayoishi tukiwa na tamaduni tofauti.
Kwa ufupi hakuna mtu aliyechagua kuwa jinsi alivyo. Sasa wewe unapomcheka nwenzako ulitaka afanyeje wakati siye yeye aliyeamua kuwa hivyo?! Ni jambo baya sana kuwacheka watu mara mseme wanawake wa kichagga hawana matako makubwa nk. Hivyo ndivyo Mungu alivyoamua sasa wafanyeje?
Kejeki zenu ndizo zimesababisha wanawake kuhangaika na madawa ya kuongeza makalio, kubadili rangi ya ngozi, kope nk mbaya wakiathirika mnaanza kuwacheka tena! Acheni Mungu aitwe Mungu kila Moja aheshimu mwenzake jinsi alivyoumbwa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unakosoa unaweza kuumba?Wanawake wa kigogoo mmemkosea nini Mungu?
Si sura, si chura,
Mpk mc pilipili kakimbua hukoo
Sent using Jamii Forums mobile app
wapi kumeandikwa oaneni kwa kabila moja?Wanawake wa kigogoo mmemkosea nini Mungu?
Si sura, si chura,
Mpk mc pilipili kakimbua hukoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine wooote sawa lakini sio ******Sijapendezwa kabisa na uzi huu. Huwa nakasirika na kusikitishwa sana mtu anapomkejeli mtu kutokana na maumbile yake ya asili Mungu aliyomjalia. Binadamu tumeumbwa tofauti wengine warefu, wafupi, weusi, weupe, walemavu, wanawake, wanaume, nk na tunatofautiana kutoka sehemu moja hadi nyingine kulingana na asili au mazingira aliyotuweka Mungu au tunayoishi tukiwa na tamaduni tofauti.
Kwa ufupi hakuna mtu aliyechagua kuwa jinsi alivyo. Sasa wewe unapomcheka nwenzako ulitaka afanyeje wakati siye yeye aliyeamua kuwa hivyo?! Ni jambo baya sana kuwacheka watu mara mseme wanawake wa kichagga hawana matako makubwa nk. Hivyo ndivyo Mungu alivyoamua sasa wafanyeje?
Kejeli zenu ndizo zimesababisha wanawake kuhangaika na madawa ya kuongeza makalio, kubadili rangi ya ngozi, kope nk mbaya wakiathirika mnaanza kuwacheka tena! Acheni Mungu aitwe Mungu kila Moja aheshimu mwenzake jinsi alivyoumbwa!
Sent using Jamii Forums mobile app
AhahahaaaaaaBasi mpaka kusoma comment ndo nimeelewa.. Nilijua wanawake wa huku kigogo luhanga, mburahati na mbuyuni
Nkataka nimvhambe mtoa mada.. Loh!
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani wewe unatundu ngapi.... c mbili tu kama za huyo mgogo unaemkashifu[emoji90] [emoji216] [emoji196] au we zimiongezewa upana[emoji196] [emoji160]Wanawake wa kigogoo mmemkosea nini Mungu?
Si sura, si chura,
Mpk mc pilipili kakimbua hukoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo nikukumbatie utajisikia poa.............njoo.....Sijapendezwa kabisa na uzi huu. Huwa nakasirika na kusikitishwa sana mtu anapomkejeli mtu kutokana na maumbile yake ya asili Mungu aliyomjalia. Binadamu tumeumbwa tofauti wengine warefu, wafupi, weusi, weupe, walemavu, wanawake, wanaume, nk na tunatofautiana kutoka sehemu moja hadi nyingine kulingana na asili au mazingira aliyotuweka Mungu au tunayoishi tukiwa na tamaduni tofauti.
Kwa ufupi hakuna mtu aliyechagua kuwa jinsi alivyo. Sasa wewe unapomcheka nwenzako ulitaka afanyeje wakati siye yeye aliyeamua kuwa hivyo?! Ni jambo baya sana kuwacheka watu mara mseme wanawake wa kichagga hawana matako makubwa nk. Hivyo ndivyo Mungu alivyoamua sasa wafanyeje?
Kejeli zenu ndizo zimesababisha wanawake kuhangaika na madawa ya kuongeza makalio, kubadili rangi ya ngozi, kope nk mbaya wakiathirika mnaanza kuwacheka tena! Acheni Mungu aitwe Mungu kila Moja aheshimu mwenzake jinsi alivyoumbwa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ww uliesoma unajua mpaka "Sred"Tatizo wagogo hawajasoma kwa hiyo hata JF hawawezi kutumia. Sasa sijui hii sred wataipata je hawa wakina aagwe yaya ulikukaya kumkugunda akuno kunji