Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 2,603
- 7,501
Upo sahh mkuu ila sio wote, ila hii hali kama ndio mschana pamanent inaumiza sana.Ndugu zangu..
Hawa wanawake wa sasa sijui shida ni nini , hawapo romantic kabisa , ni wakavu mno na hawaonyeshi ushirikiano chanya wa kihisia kwa mwanaume.
Ni wagumu sana kihisia mpaka mtu unawaza labda hapa sipendwi kumbe mtu unapendwa ni vile tuu unakaa kimachale machale
Ni nini kinapelekea hawa wanawake wa sasa kutokua romantic kabisa ndugu zangu?
Ni kweli kabisa mkuu. Unakuta umepata msichana wako permanet ila hayupo romantic kabisa mpaka unaanza kuonja onja asali za watu huko njeUpo sahh mkuu ila sio wote, ila hii hali kama ndio mschana pamanent inaumiza sana.
Mweeh yaan tunapishana tuu, watu romantic tunapata mijitu serious na haijui kabisaa cudling.Watazame mama na baba zao huwa wanaishi vipi ndio utaelewa. Mama na baba hawatazamani usoni, hapo mjengoni ni full mikausho hawana hata ile kustory kama washkaji.
Ukiishi nae we jitahidi kumtrain na kumfanya abadilike na kuwa Bff kwako hayo yote yatabadilika.
Mwanamke hawezi kuelewa maana ya kuwa romantic kama hajakutana na mtu sahihi wa kumfanyia romance.