Nimekaa na wamasai wa maeneo ya Loliondo,Simanjiro,Kia,Handeni na Ngorongoro.WaMaasai ni binadamu kama walivyo binadamu wengine kinachowatafautisha na waswahili wa mjini ni utamaduni na mazingira ya maporini wanayopendelea kuishi.
Wanawake wa KiMaasai ni wazuri sana tena wanauvumilivu wa hali ya juu uwezi kuwalinganisha na wanawake wa mjini.Wana nidhamu sijui niseme nidhamu ya uoga au ndiyo sehemu ya utamaduni wao.WaMaasai wa porini wana harufu kali ambayo kama haujaizoea utawachukia bure the same apply to wanawake wa kiMaasai.