wanawake wa kipare

profeas mbiti

Member
Joined
Jul 28, 2011
Posts
39
Reaction score
2
Hodi hodi wanabodi kwa mara ya kwanza najitokeza kwenye jamvi nikiomba maoni yunu kuhusu tabia za wanawake wa kipare na taratibu zao ukitaka kumwoa taratibu za mahari zinakuwaje? Nawasilisha!
 
Naambiwa na watu walowagonga mara kwa mara kuwa WANA SIFA YA KUKATWA ANTENNA
 
To be honest...
Wanawake wa Kipare nadhani wanafaa kuolewa na Wapare wenzao...
Sababu ya kusema hivyo ni vile my cuzn bro na baba mkubwa wameoa huko...
Huwa nawaona ni watu wenye ubinafsi sana na huwa hawapendi ndugu wa mwanaume...
Imefika mahali huyu mke wa baba mkubwa hataki kabisa kusikia mumewe kaenda kijijini kuwatembelea wazzi wake(bibi na babu yetu)...
Tabia kama hizo pia zaoneshwa na shemeji yetu...ni mengi ya kuyaandika lakini binafsi bado naamini Wapare waolewe na wapare wenzao labda wanawezana...
 
Mchumba wangu ni mpare wa muda mrefu sijaona tabia zozote mbaya kama zinazotajwa hapa mfano wanapenda sana kugongwa nje, xtreme ubahili, chuki kwa upande wa mume etc. More elaboration please:yell::nod:
 

Hizo ni tabia za mtu binafsi na wala usi general- rise kwa watu woote..kwani hata makabila mengine kama kule Tanga na hapa Mbeya dizaini ya watu hao wapo
 

wanawake wengi hampendi Ndugu za wanaume,akija tuu mnaanza kununa, tabia kubadilika mpaka mgeni aondoke
 
Ndio maana nimetolea mfano wa wale walio karibu yangu...kama nawe una samples zozote unaweza kufanya reference kwazo

Hizo ni tabia za mtu binafsi na wala usi general- rise kwa watu woote..kwani hata makabila mengine kama kule Tanga na hapa Mbeya dizaini ya watu hao wapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…