wanawake wa kishua wanaowapenda washkaji ambao hawana kitu bado wapo kweli?

wanawake wa kishua wanaowapenda washkaji ambao hawana kitu bado wapo kweli?

didy muhenga

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
861
Reaction score
1,476
Hivi wale wanawake ambao walikua wanawapenda washkaj wakati mshkaji hana kitu alafu huyo mwanamke ni wakishua unakuta anamsaidia mshkaj mpaka anajipata. Hivi wale wanawake bado wapo kweli?
 
Nao wameishiwa pesa sasahivi maisha yamekuwa tight kwa wote yani hali inaramba walambalamba na walambwalambwa hali imekuwa tafrani..😅
 
Back
Top Bottom