Hivi wale wanawake ambao walikua wanawapenda washkaj wakati mshkaji hana kitu alafu huyo mwanamke ni wakishua unakuta anamsaidia mshkaj mpaka anajipata. Hivi wale wanawake bado wapo kweli?
Tatizo wazee wao ni wakuda hawataki mabinti zao waolewe na choka mbaya.
Wengi mabinti zao wakifikisha umri wa kuwa na wenza wanawatafutia vijana kutoka kwenye familia za kishua kama wao ana muoa fasta.