Wanawake wa kitanga wana nini? Tangu nikue nasikia ukipata mwanamke wa kitanga uwezi kumuacha

Nguvu moja

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
3,371
Reaction score
2,713
Jamani hivi Tanga Kunani? Toka Nimekua na Kubalaa nasikia tu kuwa ukipata Mwanamke wa Kitanga Unasuki na wengine wanasema eti Mwanaume Ukienda Tanga Hauwezi rudi Siku hiyo hiyo lazima ulale ...Najiuliza Hivi Mabinti wa Kitanga wana nini ? Huku Mtaani kwetu wanagombaniwa kama Njungu.....Tufahamisheni jamani Wanaojua.
 
Huyu mwanamke alivyolala kanikumbusha mbali sana
 
Wanajua mahaba!wanajua kubembeleza wanaume, pia kitandani wapo vizuri wanachangamkia ndizi vizuri, hawana mahitaji makubwa ni wewe uamue kumpa pesa.Wanajua kupika vyakula aina zote!Yaani hawana pressure.Mchaga chapati hajui kupika
Kuna wanawake wapenda pesa kama watanga? Pesa kumpelekea mama yake
 
Hkna wanawake wapenda hela kama hao wa kitanga kwa taarifa yako mkuu, Kwani ww unafikiri neno mwanaume suruali limetokea wapi? Uko uko kunani, kwa mahaba ni mahodari sana hilo halina mjadala
 
Kubwa sana ni ufundi wao wa mapenzi chumbani, hakika utakutana na dunia mpya, usafi, kujituma nk.

Niliwahi kunasa nilitoka kwa mbinde sana, hadi sasa nikikutana nao nachapa nasepa sirudii.. japo moyo unatamani kumtafuta tena
 
Ukimpata demu wa kitanga, huwezi kujutia pesa yako hata kama unaibiwa utajua imeenda kihalali.

Wanajua wanachokifanya kwa mwanaume. Pia wanajua thamani ya mwanaume katika mahusiano; mapishi ya jikoni na mapishi ya chumbani pia.
 
Niliokutana nao mimi, hawana kiburi wala jeuri, hata akinuna anakuongelesha kwa Staha sana na Heshima. Unajikuta unarudi tu mwenyewe. Hawana hila katika kitanda, atakuachia yotee.
 
Hawana lolote kuna mmoja nilimpata kabla ya kumgegeda alikuwa analalamika kaachwa na mumewe. Sasa nilipomgegeda alikuwa ananuka papuchi hatareee kama mzoga wa panya madafanta yule. Nilimuacha palepale baada ya kumgegeda nilikuwa na ukame tu ndio maana nikapiga game nae mzoga ule pyoooo.๐Ÿคฎ


Ndukiiiii ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ
 
Hkna wanawake wapenda hela kama hao wa kitanga kwa taarifa yako mkuu, Kwani ww unafikiri neno mwanaume suruali limetokea wapi? Uko uko kunani, kwa mahaba ni mahodari sana hilo halina mjadala
Hata uandikaje huwezi kutuchafua wanawake wa Tanga yaani tutabaki juu siku zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ