Wanawake wa kitanga wana nini? Tangu nikue nasikia ukipata mwanamke wa kitanga uwezi kumuacha

Siku Nzote ukiona unapata mwanamke wa hovyo hovyo ujue na wewe wa hovyo hovyo.
 
Wapo hpo Hekenford English medium sijui kama nimeipatia hilo jina nilizaa na shombe la kisambaa mchanganyiko mngazija
Sipati picha hao watoto walivyo beautiful maana wanawake wa Tanga tunazaa wazuri hasaaaa
 
Jamani Tanga ina ladha jamani kwanza lafudhi tu Ile ya kitanga mie hoi! Yaani nyororo hapo bado hajaingia faragha, yalaaa nazimia mie Tanga mwayajua yote! Mwanamke kafundwa hasa ukipata mtanga km mtani wangu msukuma hakyanani mijing'ombe yote utahamishia Sahare. Zenji tu walia kuhusu Tanga nyie mtayaweza?
 
Sema wewe ndo ulishindwa,
Mi naishi nae na kwa ndoa since 2005,
Inawezekana wewe ndo tatizo!
Hizo ni story za Vijiweni tu! Ukweli Wanawake wa tanga huwezi kuishi naye hata sie tulijaribu tukashindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…