Wanawake wa Kitanzania jitahidini tukiwa 'tunawatongoza' na Kuwauliza Majina yenu mtutajie na ya Ukoo Wenu

Wanawake wa Kitanzania jitahidini tukiwa 'tunawatongoza' na Kuwauliza Majina yenu mtutajie na ya Ukoo Wenu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kuna wengine tuna Asili ya Uwoga ( Unyali ) hivyo pale tukiwa tunawatongozeni msiwe tu mnaishia Kututajia kwa Mikogo Majina yenu ya mwanzo lakini pia muwe mnatutajia na ya Ubini ( Ukoo ) sawa?

Wanawake wenye Majina Kamili kama haya yafuatayo usitegemee hata kama GENTAMYCINE nimekutongoza na Nakupenda Kweli ukinitajia nitarejea tena Kwako.....

1. Grace Ngumi

2. Rukia Masikini

3. Irene Pigana

4. Zuhura Chunusi

5. Lucy Nyoka

6. Mwanaidi Komoa

7. Anna Fimbo

8. Ashura Mpalange

Nitashukuru kama Wanawake mtakuwa wawazi mapema tu kwa Kututajia Majina yenu yote ( hasa hasa yale ya Ukoo ) mtakuwa mmetusaidia zaiidi Sisi Waoga wa Fujo na Matatizo.
 
Ila ni jambo jema maana usije ukamla dada yako kwenye ukoo, ukijua ubini na ukaona unafanana na wewe, kuna hatari akawa dada yako...
 
Back
Top Bottom