Wanawake wa kitanzania ni warembo mno!

Dr unataka kuniambia wale watoto wakali wa Eritrea na wakihabesh hawaoni ndani kwa hao wazulu?
 
Sheria yao ya Nchi sasa hivi ukimuoa nenda nae kwenu usiishi nae ukweni ili upate makaratasi ukitaka hata aje aishi milele anakuja tu.
Mkuu namaanisha sio kuwaoa ila kustarehe nao tu kwa muda wa mwezi mmoja au miwili namrudisha kwao
 
Dr unataka kuniambia wale watoto wakali wa Eritrea na wakihabesh hawaoni ndani kwa hao wazulu?
Umeelewa nilichoandika, sample ya uzuri inatakiwa ukifika sehemu wapatikane kwa wingi wa kutosha.

South siyo sehemu moja ni countrywife ndio maana hakuna nchi ya kuifikia South Africa.

Nimekupa mfano wa Kigali ukifika zile pisi unazoziona mitandaoni utazitafuta kwa tochi, tofauti kabisa na South Africa warembo si wa kutafuta wapo kila area.

Mfano Bongo kuna mikoa yenye pisi kama Kilimanjaro, Arusha, Manyara, Singida lakini si nchi nzima, hapo ndipo South Africa inapoibuka kidedea na source inaanzia kwenye misosi na bloodline.
 
Umeshaenda Eritrea 🇪🇷 , South Africa 🇿🇦, Botswana 🇧🇼 na Cape Verde. Hizo zina pisi zimenyooka ile mbaya. Japo na Tanzania wapo baadhi ya mikoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…