JACADUOGO2.
JF-Expert Member
- Dec 13, 2010
- 930
- 220
Hivi ni kwa nini wanawake au wasichana wanavaa nguo zinazoacha matiti yao wazi?
Ni ujanja au ni ujinga na upumbavu na ukosefu wa maadili?
Mbona watanzania tunapenda kuiga mambo mabayo tu kutoka kwa wenzetu wakati kuna mambo mengi mazuri ambayo tungeiga kutoka kwa wenzetu?
Mama mzima unafurahi watoto wako wanapoangalia hayo matiti yako? Hayo matiti yako anatakiwa ayaone mume wako na wala siya ya kila mtu! Tuache upumbavu na kuiga vitu vya ajabu ajabu visivyokuwa na tija!
Dada mzima unafurahi baba yako, kaka zako au wadogo zako wanapoyaangalia hayo matiti yako? Je, unawafundisha nini? Tuache ulimbukeni kama hizo ndugu zangu!
Mbona nyie mnavyovalia suruali zenu magotini hatusemi? Tazama mambo yatakayokuletea maendeleo sio vifua vya watu.

Mbona nyie mnavyovalia suruali zenu magotini hatusemi? Tazama mambo yatakayokuletea maendeleo sio vifua vya watu.

Kama mnataka mabadiliko basi anzeni na watoto/wadogo zenu huko majumbani kwenu sio unalaumu wakati kwenu unawafurahia.
Mhhh susy, sasapale unaona nini jamaniMbona nyie mnavyovalia suruali zenu magotini hatusemi? Tazama mambo yatakayokuletea maendeleo sio vifua vya watu.
Nyie wadada vipi?Badala ya kujibu hoja mnatafuta visingizio,kosa halihalalishwi na kosa!

kwani we umekatazwa kujibu? Mi sijaona kama ameuliza bali anakemea na kama ni swali ambalo we huwezi kulijibu basi sio lazima na mi nilijibu. Unaweza ukadhani kuwa natafuta kisingizio ili kutetea hao wanaovaa hivo la hasha!....... coz mi mwenyewe sio muumini wa huko!! Kumrekebisha mtoto sio kazi kama ilivo kwa mtu mzima(mwenye kusikia na asikie)!!
KiSWEET kua mtoto mzuri uache kubishana na mwenzio hapo juu maana yeye kila kinachomhusu mwanamke kizuri au kibaya anapinga na kuponda!kwani we umekatazwa kujibu? Mi sijaona kama ameuliza bali anakemea na kama ni swali ambalo we huwezi kulijibu basi sio lazima na mi nilijibu. Unaweza ukadhani kuwa natafuta kisingizio ili kutetea hao wanaovaa hivo la hasha!....... coz mi mwenyewe sio muumini wa huko!! Kumrekebisha mtoto sio kazi kama ilivo kwa mtu mzima(mwenye kusikia na asikie)!!

hahahaha, wanatumia uhuru wao, mbona tuliiga kuvaa nguo, hatukulalamika, sasa tunaona kuvaa nguo ni utamaduni wetu, na ule wa awali wa kutokuvaa nguo ni wa kuiga, hivyo tunalalamika, kwa ujumla swala la kuvaa ni uhuru wa mtu, tuwache watu wavae wanavyotaka.

Standard za kusema kuvaa nguo, au kutofunika sehemu fulani ni wa kuletwa na hao hao.

Angalia hii picha ilipigwa miaka ya 1900, moshi  angalia mabinti nyuma ya huyu jamaa je waliiga wapi kutokufunika matiti?