Kwani leo ndio umeanza mapenzi hadi ukubali wewe ndio unataka kitu hutaki unakuwa seriousWengine mnalazimisha na kujibebisha
AnajikombaTATIZO HUTAKI KUITWA MBAHILI.
Basi nenda ukaombe kwa muhasibu hela yakutolea copy ila akizidi unamsema kwa bossyUsipompa mtu ananuna salam haitikii Ukiwa na kazi ya kuprint anakwambia printer haina wino [emoji23][emoji23]
Kwani akinuna wewe unapungukiwa na nini? Kwani Computer yako haijaunganishwa via wifi na printer? Kama una kazi si unacomand inaprint, wewe unafuata printed documents tu. Hii sababu zako hazina mashiko.Usipompa mtu ananuna salam haitikii Ukiwa na kazi ya kuprint anakwambia printer haina wino [emoji23][emoji23]
Soma hiyo niliokuandikiaSasa mtu sio mpenzi wangu analazimisha hela ya nini, kila mtu ale mshahara wake
Kwani ukiombwa huwezi kukataa? Huna misimamo yako? Hujui mpango wako wa pesa. Mambo mengine mwanaume hutakiwi kuongea huo ni udhaifu mbaya sanaWanawake wa maofisini punguzeni kuwaombaomba hela vijana(wanaume) jua kwamba wanafamilia (mke, watoto,dada,mjomba,Baba,mama, shangazi) ndugu na wapenzi wanawategemea.
Imekuwa Kero sana mtu sio mpenzi wako mara anataka umnunulie chai,mara lunch na dinner wengine hadi nauli.
Jamani waoneeni huruma wengine wanategemewa na jamii zao ie.kanisani au msikitini
Watakuwa wanamuangalia kwa macho ya huruma na yeye anawaonea aibu,au itakuwa wale wenye vivazi vyenu vya siku hizi vya juu ya magoti halafu wanamuomba hela...Uwe na msimamo kwani lazima
Zamani nilikuwa nimeambiwa hivi na manager kama hunipi penzi nitahakikisha kukufanyia visa ila hivyovo visa alipewa yeýeYeye ndio kazi yake asijitie kununa hapa