Wanawake wa mikoani wakija mjini wanakuwa kituko tu

Wanawake wa mikoani wakija mjini wanakuwa kituko tu

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
20770049_1388089244645664_1936665253847087198_n.jpg
 
Unadhani wa mikoani tu hilo ni kwa wale wote wasiokubaliana na uumbwaji wao kutoka kwa aliye juu. Tena wa mijini ndio wengi wenye tabia hiyo mkuu.

Wakiona wenzao wamejaliwa basi wanataka wafanane nao.

[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] my sister
 
Nyie wanaume ndio mnafanya hadi wadada wanahangaika kiasi hicho!

Mtu akiwa "flat" hammtaki
 
02ef0ae28865c4e8d4108cdcf04ce4e9.jpg

sahv sioni nitaangalia vizuri baadae
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Hahahhaha sio wa mikoani tuuu ,,, tena wamjini ndo shida ,,siku izi sana vitaiti vyao vimewekwa sponji ,, changanya na mchina ,,,,uje uchanganye na side effect zamadawa mf ARVs ......utamtaka!..

Tena bora yake huyo hata kwamacho tu unagundua kalazimisha ,,,, wamjini bana kuwajua nikazi.
 
Back
Top Bottom