Unadhani wa mikoani tu hilo ni kwa wale wote wasiokubaliana na uumbwaji wao kutoka kwa aliye juu. Tena wa mijini ndio wengi wenye tabia hiyo mkuu.
Wakiona wenzao wamejaliwa basi wanataka wafanane nao.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120][emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] my sister
Mbona dogo anataka kutoboa shurwale?! [emoji23] [emoji12]