Wanawake wa mikoani wakija mjini wanakuwa kituko tu

Unadhani wa mikoani tu hilo ni kwa wale wote wasiokubaliana na uumbwaji wao kutoka kwa aliye juu. Tena wa mijini ndio wengi wenye tabia hiyo mkuu.

Wakiona wenzao wamejaliwa basi wanataka wafanane nao.
u`ve said it well,i love u!
 
Sie wa mikoani mbona tunajikubali sana wala hatunaga shobo za kijinga km hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…