Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
Aliye jichubua mie nasikiaga kinyaa utafikiri nyama live pwaa
Mie huwa natumia natural kama matango,asali na yai,kulainisha ngozi.Na kula chakula kizuri, serengeti nimeziweka kando,ma-stresss nimeyakataa na napata usingizi wa kutosha.Kwa hayo sihitaji mkorogo!Hahaha! Ila suprise haitahusisha chochote kinachohusiana na uharibifu wa ngozi!
Hata DAR ukipanda dala dala za Gongo la mBoto, Mbagala, Tandika, Mwananyamala, Msasani na kigogo utakutana na akina mama ngozi dhaifu ila wamejichubua balaa mpaka unakata tamaa ya maisha. Ila nadhani generation hii ya akina dada/mama walifika miaka 45 onwards tutashuhudia magonjwa ya ajabu ajabu sana ya ngozi
Mie huwa natumia natural kama matango,asali na yai,kulainisha ngozi.Na kula chakula kizuri, serengeti nimeziweka kando,ma-stresss nimeyakataa na napata usingizi wa kutosha.Kwa hayo sihitaji mkorogo!
Sure yani,watoto watakaozaliwa watakuwa balaa.Yani hawana akili kabisaaa.Halafu nimesikia dar kwa sasa wanawake wengi hawazai na ni kwa sababu ya mikorogo.
Tubu mchumba! Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya BWANA. Uhai wa binadamu ni MPANGO WA MUNGU!
Hapana mimi situbu huo ndio ukweli.Dunia sio mabaya ila wanadamu ndio wabaya.Tumepewa vitu vizuri na Mungu ili tutumie vizuri lakini sisi tunabadilisha matumizi ya asili.Mfano
tunakata miti hovyo tunategemea nini -ukame,njaa ,vifo
wanaume wanaoa wanaume na wanawake wanaoa wanawake,unategemea nini-?????????????????
tunachuna ngozi zetu na machemical hatari-unategemea nini?
Tafakari mwenyewe.
Mwapuleni mkwai !!Huo ni ukweli,yani umesahau tukitoka Swanga huwa tunapitia mbeya kusalimi wajomba??
Mwapuleni mkwai !!