Wanawake wa Mwanza mjini na maisha yao

Kamwe hakuna mwanamke anayekaa mbali na simu yake.

wee tafuta PESA tu Bro
 
Mji unanuka harufu ya uozo wa samaki
Kumbe unaweza kujiona mjanja kumbe wewe ndo mshamba haswa, Mwizukulu mgikuru nimeishi dar lakini hakuna mji siupendi kama dar kwa sababu ya hali ya hewa yake ya joto, uchafu ulio kithili kila Kona.

Hoja yako ya kwamba mwanza Kuna harufu ya samaki vip kuhusu dar kivukoni.? Sehemu ipo ikulu lakini inanuka harufu ya uozo wa samaki ni aibu.!
 
Unakuta mtu anaponda mkoa x mfano mwanza kumbe anaishi kijijini ambapo pana mtandao wa 3G
 
Kama nchi iko hivi basi hizi mada za Wasukuma zife!! Kila mkoa au kila kabila zina pande zote mbili mbaya na nzuri inategemea na nature tu ya mtu!!

Hatujasikia kuhusu mkoa wako Arusha wamasai wakoje mkuu?
 
Unakuta mtu anaponda mkoa x mfano mwanza kumbe anaishi kijijini ambapo pana mtandao wa 3G
Unakuta mtu ni wa BAHI huko au Ileje na MAKAMBAKO afu anaponda Mwanza unabaki unamuonea tu huruma maskini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…