Kijana LOGICS
Senior Member
- Dec 16, 2023
- 140
- 536
Mkuu kuna makabila kwao kuchepuka/ kugawa ni sunna. Uwepo wa magonjwa ambukizi ya ngono ndio kidogo imepunguza uchepukaji wao.😄Wanawake wenye asili ya pwani ,tanga Lindi ,n'a mtwara ni exception .
Atakupenda, atakueshimu Ila kuchepuka kwao ni kawaida na ni fahari kwao
Reflection yake ni unakua n'a furaha Ila laana ya kuchepuka itakuja kutafuna generation.
ila kanda ya pwani imezidi ongezea na dar jiji la ARVHamna kanda isiyokuwa na wanawake wanaochepoka....do your research....uchepukaji wa mwanamke ni wa Siri mno.
Sema tu Pwani ni matrilineal region....wanawake wanachepuka Kwa kujiamini, hawaogopi kuachika.