Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Kaka wanawake kwa sasa ni pasua kichwa .... Yaani ukiwa naye tu ndio wako kuna mwingine mm nilikuwa naye anachakatwa balaah na anakwambia kabisa jana nimechakatwa sababu ya shida ..... Mpk nimenyanyua mikono
Hawa viumbe kwa sasa wana slogan yao pesa mbels hamna mapenzi kwa hiyo sishangai kabisa kuchakatwa
Hahaha kweli kabisa pesa mbele...unapewa unachotaka....hawana aibu unaweza wagegeda wawili kwa pamoja cha muhimu ndalama tuu
Uli bwino?
Hahahaaa mimi niliwahi ambiwa na dem wa mshkaji "play your part"Kaka wanawake kwa sasa ni pasua kichwa .... Yaani ukiwa naye tu ndio wako kuna mwingine mm nilikuwa naye anachakatwa balaah na anakwambia kabisa jana nimechakatwa sababu ya shida ..... Mpk nimenyanyua mikono
Hawa viumbe kwa sasa wana slogan yao pesa mbels hamna mapenzi kwa hiyo sishangai kabisa kuchakatwa
Mkuu ukiwa dau kubwa hawaulizi hata salama utasikia njoo nafuta hapo jiongeze tu hata hawa watoto wa vyuo nao ni pasua kichwa kabisaHahaha kweli kabisa pesa mbele...unapewa unachotaka....hawana aibu unaweza wagegeda wawili kwa pamoja cha muhimu ndalama tuu
Mkuu ukiwa dau kubwa hawaulizi hata salama utasikia njoo nafuta hapo jiongeze tu hata hawa watoto wa vyuo nao ni pasua kichwa kabisa