Gego Mnete Member Joined Dec 9, 2017 Posts 10 Reaction score 14 Feb 18, 2019 #1 Wanawake wa Zamani Walikuwa Wakiamka Baada ya kazi zao Nyingine Wanawasha Moto na Kuanza Kupika Chai Lakini Wanawake wa Sasahivi Wakiamka Wanawasha Data Hata Mswaki Hawapigi.
Wanawake wa Zamani Walikuwa Wakiamka Baada ya kazi zao Nyingine Wanawasha Moto na Kuanza Kupika Chai Lakini Wanawake wa Sasahivi Wakiamka Wanawasha Data Hata Mswaki Hawapigi.
Askof Mstaafu JF-Expert Member Joined Jun 28, 2018 Posts 924 Reaction score 4,581 Feb 18, 2019 #2 Uzi tayari Sent using Jamii Forums mobile app
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,113 Reaction score 8,610 Feb 18, 2019 #3 Sasa wanaizimaga hiyo data kwanini?
Bulaya001 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2018 Posts 5,987 Reaction score 6,682 Feb 18, 2019 #4 na wale walio na vitochi nao wanawasha data?!! Sent using Jamii Forums mobile app
james H mapunda Member Joined Aug 8, 2013 Posts 29 Reaction score 16 Feb 23, 2019 #5 kuamka kwenyewe saa sita chai tena ugali wa mchana ,jana kalala saa kumi mchezo