Wanawake wa siku hizi bana!

Za masiku?
Kijana anataka masingle nao wapike!
Lakini labda alitaka kumzungumzia watu fulan ambao wameolewa alaf wanafanya hivyo lakini ameshindwa!
Na hapo bado si tatizo maana walio waoa watakuwa wana kubaliana na maisha hayo!

 
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums


unazungumzia wajawazito kumbe...!!?
 
ukweli kuna watu wanaboa sana haswa kwenye swala la pombe yeye ni wa bar kila muda sijui kama wanawaza maisha ya mbeleni ya kuwaje.
 
Kuna mshikaji wangu alikuwa anapresent leo transition from youth to adulthood case ya mji mmoja huko Zimbabwe.

It is not far from this guy's idea.

Kwanza presenter mwenyewe (mshkaji wangu) nadhani atakuwa in early 40s na ni mdada single.

Hence alikuwa na sort of personal interest na research yake...ingawa haku declare openely.

Kwa ufupi ni kuwa jamii inategemea youth a behave in a certain way or else....utakuwa punished; punishment ziko za aina nyingi, kuwa named and shamed, kukosa mume (wewe si marriage material); kuna familia zinafikia mpaka kuwakana watoto kwa kuwa hawakubaliana na ways zao za maisha..etc.

Sasa ni vipi utajitoa kwenye hizo social norms? Kuzipotezea completely ni ngumu ndio maana vijana wana ways za ku balance their freedom and autonomy and societal expectation.

Mfano ukikuta mdada yuko bar peke yake amependeza watu wana conclude kuwa yuko kwenye biashara ya kujiuza. Sasa dada ambaye yuko smart atamchukua hata mdogo wake wa kiume ampe company kuepuka societal punishment.
 
Madem kama hawa sie tuna kwatuaaaaaaa tu!...
 
Kuna mfano mmoja aliotoa ulinichekesha sana. Anasema kuna case moja vijana wawili wa secondary walikutwa vichochoroni peke yao...wakawa punished na shule kwa kupewa 1 week suspension.

Yeye akauliza walikuwa wanafanya nini mpaka mmeamua kuwa punish...kila mtu anajibu they were about to...

Na kila mmoja alikuwa anaona wana deserve punishment. Kwa norms zao mtoto wa kike na wa kiume wakiwa peke yao faragha ni kuwa either they are about to ..au tayari. Na society inajua hivyo ...hivyo hao vijana hawakuwa na excuse.

Na kwa hapa kwetu Tz..maeneo kama Bar ni ya wanaume au couples...si place for single ladies...unless unataka punishment.
 
Na kwa hapa kwetu Tz..maeneo kama Bar ni ya wanaume au couples...si place for single ladies...unless unataka punishment.

Basi mi mwenzio mkavuu kweli, naendaga mwenyewe, alfu kukomoa nakunywa hainken, sasa najikuta naletewa tu vikopo Mzalendo pub na ujumbe unaombwa kampani yako meza ile, najibu waambie nakuja ila chupa please iache hapa. nikirizika nasepa! Ukienda na mdogo wako utakunywa maji??!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mtoa mada. . .
Kupika wengine hawapendi, hawajui wala hawataki kujifunza. Sasa mtu kama huyo akiwa single/mwenzi wake hajali unadhani atalala na kushinda njaa?Au pengine wako kibiashara zaidi, huwezi jua maana kama hana mwanaume wa kumpikia basi inawezekana kabisa anamtamani na hapo ndo kaona atamkwapua.
 

Au nenda na shosti wako
but wote m behave sawa
ukiongozana na mapepe akianza papatikia offer tu
mnawekwa kundi moja lol
kazi kwenu wadada lol
 

we kwa ukavu tu huna upinzani
sasa offer tu ndo usiende na mdogo wako?
si mtapewa wote offer?
 

Kumbe mtegaji wewe eeeh...
 
We muda wote unaopoteza kumchunguza mtu huna kazi ya kufanya au? Mkuu, kama unaona wanakukera we achana nao, sio lazima wawe kama utakavyo wewe.
 
Kwahiyo unakwatuka kwa lisaa or so alafu unaenda kukaa bar ukiwa huna pesa ya kinywaji?AISEE!!!

Exactly!!!!!!!! If i can get smthn for free why bother to pay! Mambo ya kupe hayo, kunyonya wenzie. Kukaa kote mjini miaka yote siwezi kutoa hela nilipie bia!!!!!??? Labda inibidi sanaaa!
 
Kumbe mtegaji wewe eeeh...

Mjini mipango, mimi nimejikalia, vinajileta vyenyewe najinywea tuuu! Afterall i dont want to be unecesarly rude kwa mtoa ofa! Mwanaume ukiona hadi ofa zako zinakataliwa na kurudishwa inabidi uji re-evaluate upya. Nikinywa im jst being nice kwa mtoa ofa!
 
we kwa ukavu tu huna upinzani
sasa offer tu ndo usiende na mdogo wako?
si mtapewa wote offer?

Mkienda wawili mnazengea ofa ni kujiaibisha! Its okay mimi kufanya coz itakuwa my dirty little secret, ila kumtoa mtu ukampigishe mihayo soo! Afu wanaume wenyewe wanawapotezea, nani anataka shoti ya kulipia vitu viwiliviwili wkt ana shida ya kimoja? Umesahau Sekondari ukimuita demu umtongoze wanakuja 4 afu umefulia basi ukiuona msururu kwa mbali unatokaje race mlango wa nyuma, na kutext baby im so sorry i cant come!
 

secondary ulisoma wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…