Ndugu yangu kina dada kama hao wengi unakuta ni warembo sanaa tena sana,,Sasa basi kilichopelekea wao kuwa hivyo ni kulewa sifa za uzuri waliokuwa nao.Wengi walikimbia shule wakitegemea kuwa mrembo ndio kufanikiwa kimaisha kumbe nyakati zinabadilika na wanaume wajanja cku hizi wanaangalia wanawake wenye ku focus na future na wenye akili ya kupambana na vikwazo mbalimbali ili kufikia mafanikio.Sasa basi wanaume wa cku hizi wanawatumia wanawake kama hao kwa ajili ya showoff ,Yani wewe ukitaka kwenda samaki samaki or anywhere else (kwa wauza sura) unalipigia limoja simu unaenda naye mnakula bia unajigongea then unaendelea na maisha yako.Na ili wasishuke kiwango lazima utawakuta saloon muda wote.kwa kifupi siyo wanawake wa kuoa ni wakutumia na kuacha NANI ANAYEHITAJI PRESSURE???