Wanawake wa siku hizi wanajiamini kuliko wanaume

Kizoda

Senior Member
Joined
Mar 5, 2022
Posts
130
Reaction score
302
Yaani siku hizi bwana wanawake wamekuwa kama wanaume na wanaume wamekuwa kama wanawake
Yaani wanawake wa siku hizi bwana wanajiamini kuliko hata wanaume wa Dar.

Unafikiri ukimpa mimba ndo atatulia! Kumbe ndo umeenda kumuongezia Akili zaidi.

I LOVE my nyeto sikuachi
 
Wanawake wa wapi hao?
 
Tuelewane huyu senior member ni kijana/mvulana wa Darisalama mla viepe na hayo ndo mawazo yake si ya wanaume wote so anachokisema ni yeye ndo anakifanya sio wanaume wanaojitambua......
 
Sasa ushasema wanaume wa dar inatosha ungetutaja sisi wengine ungetafuta ubaya hakunaga mwanaume anae saliti wanaume wenzie tulia wewe mwaname wa dar
 
Ndo maana ma single mother wengi
 
Kama na wewe walikuhesabu mwanaume kwenye sensa basi walikosea sana
 
Hivi wanawake mko wapi mje huku! mna niudhi sasa smaki wapi leo????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…