Wanawake wa Uswahilini wana Makalio Makubwa Sana

Hii elimu ya evolution kali kweli. Sijui wale wa Ushuani wakihamia Uswahili na kinyume chake inakuwa vipi!
 

Wasichana wa uswazi tangu wakiwa watoto wanakula ugali tembele, maharage samaki nk. Wasichana wa masaki nk wanakula chips na wahapendi kula vyakula hafu wanapenda waonekane wembamba kisa usasa.
 
Last edited by a moderator:
Ni kwa sababu wanakula sana ugali. Wa masaki wanakula mayai yasiyokuwa na jogoo. Ha! ha! haa! haaa!
 
mamangu mdogo anaishi Arusha, alipokuja dsm, tukiwa k'koo siku 1, akaniuliza: "weee ......, mbona kila binti wa dsm amefutuka nyuma, ni niaje?" Mi nilikosa jibu!
 

Wewe mswahili.Do I need to explain how bullshit this is to anyone?
 
Last edited by a moderator:
mamangu mdogo anaishi Arusha, alipokuja dsm, tukiwa k'koo siku 1, akaniuliza: "weee ......, mbona kila binti wa dsm amefutuka nyuma, ni niaje?" Mi nilikosa jibu!
Mkuu hiyo location yako inahusika sana na huu uzi.. kama wewe ni ME unafaidi sana na kama ni KE hongera sana.
 
Uswahilini watoto wana maini acha...duh
 
sure sure....sema sports cars ndo mpango mzima....!
 
Pamoja na hayo mandingo makubwa hata mapenzi wanayajua kuliko watoto wa kishua.
 
Ahhhhh zubeda weeeeee..jambo unakaa tandale sweet corner lakini ---- linakulinda mbayaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…