Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,593
- 8,595
Ipo hivii hawa wanawake ndio wahusika namba moja kwa kudate na masponsa.
Na hawa masponsa wengi wao ndio viongozi wetu au ni watu walio kwenye vitengo vikubwa vikubwa wakiendesha taasisi au makampuni yanayo chakata uchumi wa taifa.
Sasa ni hivi nyie wanawake mnawaambukiza ma uti,kaswende na magono hawa wazee mnafanya wazee wa watu kila siku washinde wanakunywa ma anti bayotiki yaani wazee wa watu hata waini hazipandi kisa dozi za kutibu magono.
Wazee ofisini hakukaliki kutwa kucha kujikuna pumbu hata vikao vya kuendesha uchumi hawakai sawa kwa sabubu ya mastress ya magono na usaliti mnao wafanyia.
Uhurumieni uchumi wetu kumiliki magonjwa sio sifa ni ushamba wanawake lindeni afya zenu