Aah, siku hizi ni rahisi sana kujieleza kwa mke wako kama ukipotea kwa wiki au zaidi.
NILITEKWA NA WASIOJULIKANA.
Kwisha kazi yake mkeo. Utadekezwa wewe mpaka umuonee huruma huyo mama.
Tena huyo mama akisema twende polisi unamwambia WASIOJULIKANA wamekuambia watawadhuru mke na watoto wako kama ukienda kutoa taarifa polisi. KWISHA KAZI.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.