Katika kuadhimisha siku ya familia dunian..wanawake wakiongozwa na eng stella
manyanya wameandamana mpaka mlima matogoro kupinga ongezeko la mafataki
na jinsi ama mbinu wanazotumia kuachiwa mahakamani baada ya kupelekwa
na ushahidi kuwepo....
Msafara huo ulioishia mlima matogoro ukiongozwa na mama manyanya umesema hakika
hivi sasa MAHAKIMU mnaitaji kutushikilia..hata kama wanatoa hela waachiwe tunaomba
kwa hili muwalinde wanawake jamani chonde chonde jamani...alilalama mama mmoja
wa songea!!!!!!