Wanafunzi kadhaa watakosa masomo baada ya kutolewa darasani kufuatia
kikundi cha Wanawake Gairo Mkoani Morogoro kuifunga kwa muda usiojulikana
Shule ya Msingi KWIMAGE Trust Education
kutokana na mmiliki wa shule kushindwa kulipa kodi ya pango.
ITV.
Tuwe makini kabla ya kuamua kumpeleka mtoto shule, hususani hizi za watu binafsi. Umakini unahitajika ili, kwa mwaka ujao wa masomo, makosa kama haya yasijirudie.
"A wise man learn from others' mistake"