Wanawake wafungua saloon za kunyoa mitindo ya kiume

Wanawake wafungua saloon za kunyoa mitindo ya kiume

Frumence M Kyauke

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2021
Posts
630
Reaction score
1,262
Wimbi kubwa la wanawake wanaopenda kunyoa nywele zao kwa mitindo kama ya wanaume limezidi kuongezeka na pia Saluni nyingi za kiume zimedaiwa kushindwa kuwanyoa vizuri wanawake na kuhakikisha wanapendeza.
Lakini wanawake wamekuwa wakikosa amani ya moyo (wamekuwa na hofu) pindi wanapolazimika kwenda katika saluni za kiume jambo lililowapelekea baadhi ya wanawake kufungua saloon zinazonyoa mitindo ya kiume kwa wanawake

images - 2021-11-02T171059.398.jpeg
 
Back
Top Bottom