Wanawake wagumu kutoa lifti, wanaume wepesi kutoa lift kwa wanawake, wagumu kutoa lift kwa wanaume wenzao

instagram

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
2,118
Reaction score
4,863
Nimekaa hapa nakula mvinyo kuna bajaji kapita kakuta mabinti wawili wanapita kasimamisha kauliza “mnaenda” wakamjibu “hatuendi” , bajaji kakomaa “mnaenda wapi” wamemjibu tumefika. Bajaji kakomaa “twendeni basi niwasogeze”. Mabinti wamepanda bure.

Ukute bajaji hili hili liwapite madume wenzie uone linavyowakazia. Kuna kidemu nilikua nakipa lift kitoto cha jirani leo kimepata kazi kimenunua gari kimenipita mahala nilikua nanyoosha zangu miguu hata kuniuliza kama nafanya mazoezi.

Inashangaza sana wanawake ambao ndiyo wachoyo wa kutoa lifti kwa wanaume, ila sisi wanaume ndiyo tunajikomba kuwapa lift lakini tunawafungia vioo vidume wenzetu kwenye maswala ya lift.
 
Labda hicho kitoto cha jirani hakikukutambua kama ni yule Baba jirani yake 😜😜

Nimekaa hapa nakula mvinyo kuna bajaji kapita kakuta mabinti wawili wanapita kasimamisha kauliza “mnaenda” wakamjibu “hatuendi” , bajaji kakomaa “mnaenda wapi” wamemjibu tumefika. Bajaji kakomaa “twendeni basi niwasogeze”. Mabinti wamepanda bure.

Ukute bajaji hili hili liwapite madume wenzie uone linavyowakazia.

Kuna kidemu nilikua nakipa lift kitoto cha jirani leo kimepata kazi kimenunua gari kimenipita mahala nilikua nanyoosha zangu miguu hata kuniuliza kama nafanya mazoezi.

Inashangaza sana wanawake ambao ndiyo wachoyo wa kutoa lifti kwa wanaume, ila sisi wanaume ndiyo tunajikomba kuwapa lift lakini tunawafungia vioo vidume wenzetu kwenye maswala ya lift.
 
wanawake ni selfish sana mkuu inabidi uwazoe bt hata wanaume wenye tabia za kuwanyima lift me wenzao waache hizo maana maisha ni kusaidizana
 
Labda hicho kitoto cha jirani hakikukutambua kama ni yule Baba jirani yake [emoji12][emoji12]

Bwana weee siyo baba ni kaka kwake[emoji38]
 
wanawake ni selfish sana mkuu inabidi uwazoe bt hata wanaume wenye tabia za kuwanyima lift me wenzao waache hizo maana maisha ni kusaidizana

Madume mengine unaweza kuta unaongozana zako mbele kuna mademu wakali unapiga hesabu zako ghafla jamaa limekupita linaenda simamisha gari mbele kwa mademu linawapa lift linakuharibia hesabu zako vibaya sana[emoji28]
 
Nimekaa hapa nakula mvinyo kuna bajaji kapita kakuta mabinti wawili wanapita kasimamisha kauliza “mnaenda” wakamjibu “hatuendi” , bajaji kakomaa “mnaenda wapi” wamemjibu tumefika. Bajaji kakomaa “twendeni basi niwasogeze”. Mabinti wamepanda bure.

Ukute bajaji hili hili liwapite madume wenzie uone linavyowakazia.

Kuna kidemu nilikua nakipa lift kitoto cha jirani leo kimepata kazi kimenunua gari kimenipita mahala nilikua nanyoosha zangu miguu hata kuniuliza kama nafanya mazoezi.

Inashangaza sana wanawake ambao ndiyo wachoyo wa kutoa lifti kwa wanaume, ila sisi wanaume ndiyo tunajikomba kuwapa lift lakini tunawafungia vioo vidume wenzetu kwenye maswala ya lift.

Wanaume wengine! Hivi mtu amnunulie gari mke wake wewe utake lift? Ngumu sana kwa mwanamke kukupa lift na ni utamaduni.......

Mwanamke doesn’t stand on her own ni mtu ambaye anategemewa awe na mtu nyuma yake wa Kumtunza na Kum protect!

She can’t on her own gives a lift, Labda muwe na ukaribu sana sana!
 
Wako wanawake wengi sana wamenunua magari kwa pesa zao mfano halima mdee, esta bulaya, nandy, vicky kamata , shilole, hebu jaribu kuwaomba lift uone shombo. Swala la ukaribu siyo lazima mbona mimi naombwa lift na madume na mademu sina ukaribu nao na siwajui ila nawapa lift?

Eti “ mtu amnunulie mke wake gari utake lift” ushuzi mtupu. Kuna msiba kanisani walitangaza kama mtu ana gari atoe lift kwa wengine twende makaburini, nyoo unakuta demu yuko kwenye mgari wake x5 pekeyake anaenda kuzika, siyo ubinadamu. Alafu uyu demu miaka michache alikua anagombania daladala leo anajiona eti hawezi kushea jasho na mtu kwenye gari lake. Na kuna wajinga wanasapoti eti ni kweli mwanamke hawezi kutoa lift.
 
Wako wanawake wengi sana wamenunua magari kwa pesa zao mfano halima mdee, esta bulaya, nandy, vicky kamata , shilole, hebu jaribu kuwaomba lift uone shombo. Swala la ukaribu siyo lazima mbona mimi naombwa lift na madume na mademu sina ukaribu nao na siwajui ila nawapa lift?

Eti “ mtu amnunulie mke wake gari utake lift” ushuzi mtupu. Kuna msiba kanisani walitangaza kama mtu ana gari atoe lift kwa wengine twende makaburini, nyoo unakuta demu yuko kwenye mgari wake x5 pekeyake anaenda kuzika, siyo ubinadamu.

Sijasema kila mwanamke kanunuliwa gari, ila hata akinunua bado ni mwanamke na hawezi toa lift kirahisi kama mwanaume!
 
Sijui kwanini huwa sipendi kupewa lift, ila wakati nitakapokua na gari nitakua nawapa lift watu wengine.
 
Wapenda lift bwana😂😂😂
 
Si Kila mtu ni wakumpa lifti kwa Hilo Mimi sishangai, ikitokea nimekupa lifting ni kwa sababu maalum.
 
Naelewa why mwanamke ngumu kutoa lift
Magari Yao ni kama 'chumba binafsi'
Wakikupa lift ni kama wanakukaribisha chumbani..
Wana maintain 'privacy' ..
 
Sema mtoa mada moja kasema wamenunuliwa na waume zao, labda wanaogopa wakionekana na mjuba ndani ya gari watanyang’anywa. Au labda wanaogopa kumpa mtu ukaribu wa kuwatongoza.
 
Back
Top Bottom