Wanawake waheshimiwa.....

Wanawake waheshimiwa.....

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Nilikuwa namtazama celina kombani
kwenye tv akizungumzia uchaguzi wa serikali za mitaa
nikawa najiuliza is she married????

I mean wanawake wabunge na mawaziri ambao ni
single au dirvoced,ni akina nani?????

I am just curious..........
 
kumradhi wakubwa, ...thread hii imekaaje? celebrities, udaku, siasa au?

am just curious as well.
 
huu ni udaku wakubwa!
Mtu kasimama kama kiongozi wewe unaanza kumwangalia na kumtathmini kama kaolewa ama lah!
 
huu ni udaku wakubwa!
Mtu kasimama kama kiongozi wewe unaanza kumwangalia na kumtathmini kama kaolewa ama lah!

vc....
Kiongozi kujua kama hajaolewa ni muhimu huwezi
jua nani ana influence maamuzi yake thru relationships.

Just curious.....

Ndo maana nchi za wenzetu watu huwa wanaangaliwa
mpaka wapenzi wao wakoje....

Kwetu si culture labda but...things change...
 
Kombani kaolewa na Hawa Ghasia pia nadhani unajua kuwa na Mume,Mwamtumu mahiza pia bila shaka unajua Mume wake alistaafu kipndi kifupi kilichoisha....vp kwani wenyewe ni binadamu pia kuwa viongozi haiwaondolei mahitaji yao ya kijamii...
 
vc....
Kiongozi kujua kama hajaolewa ni muhimu huwezi
jua nani ana influence maamuzi yake thru relationships.

Just curious.....

Ndo maana nchi za wenzetu watu huwa wanaangaliwa
mpaka wapenzi wao wakoje....

Kwetu si culture labda but...things change...

The same applies to male leaders.... Many decisions are made in bedrooms and proclaimed in boardrooms Mkuu Boss... huu ndio ukweli hahahahah
 
the same applies to male leaders.... Many decisions are made in bedrooms and proclaimed in boardrooms mkuu boss... Huu ndio ukweli hahahahah

sawa sawa vc...
Ndo maana waarabu huwa hawataki
kuongozwa na wanawake...
Wasiwasi wao kuwa akipata bwana
nje basi nchi zao zitauzwa.....

Unajua natamani kupata orodha ya wabunge wanawake ambao ni
single ili nione maamuzi yao yanabadilika badilika au yanakuaje
mfano mbunge single wa chadema akipata bwana wa ccm?????

Umenipata?????????
 
umenipata point yangu lakini? Hii ina apply both ways.
 
umenipata point yangu lakini? Hii ina apply both ways.

no...
Most of the time....wanawake ndio
wanalalia upande wa bwana umenipata??
Unakumbuka ccm back then ishu ya amina na zitto???
Wakasema anapeleka siri za chama kwa zito??
 
sawa sawa vc...
Ndo maana waarabu huwa hawataki
kuongozwa na wanawake...
Wasiwasi wao kuwa akipata bwana
nje basi nchi zao zitauzwa.....

Unajua natamani kupata orodha ya wabunge wanawake ambao ni
single ili nione maamuzi yao yanabadilika badilika au yanakuaje
mfano mbunge single wa chadema akipata bwana wa ccm?????

Umenipata?????????

The Boss, ahsante kwa ufafanuzi.

Ikija kwenye maamuzi ya kitaifa, hakuna cha mwanaume wala mwanamke, kisu kinakata huku na huku.

...hata Mwalimu JK Nyerere pale Kilimanjaro hotel alisema " hatutaki kiongozi anayechukua maamuzi ya mkewe...!"

...unakumbuka hata Hillary Clinton alimaka hivi...

[ame="http://www.youtube.com/watch?v=di-uBOc5DKI&feature=related"]http://www.youtube.com/watch?v=di-uBOc5DKI&feature=related[/ame]
 
the boss, ahsante kwa ufafanuzi.

ikija kwenye maamuzi ya kitaifa, hakuna cha mwanaume wala mwanamke, kisu kinakata huku na huku.

...hata mwalimu jk nyerere pale kilimanjaro hotel alisema " hatutaki kiongozi anayechukua maamuzi ya mkewe...!"

...unakumbuka hata hillary clinton alimaka hivi...

http://www.youtube.com/watch?v=di-uboc5dki&feature=related

thanks
kwa kunielewa...
But i believe mwanaume ndio anafaidika zaidi....
 
Back
Top Bottom