FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
lol Salamuu Maria......mmmh, hiii dunia kwisha kazi yake!!!, sasa si uende wodini ukamalize hamu, nikikuona nyuma ya mama watotowangu walahi, nakushusha busha lol.
sidhani kaa hii kweli ni jambo la ajabu .....labda kwa watanzania
ila wazungu wana mpaka website za `wakubwa` za akina dada wajawazito tu!
sasa nafikiri huyu ana asili ya wazungu ....
anyway pregy ppl need sum luv too ......just sayin π
sasa kwa vile tatizo hilo linawakumba sana wazungu na sie watanzania halitupati sana, unaonaje kama ungetoa tatizo lako kwenye website ya wazungu wakakupa suluhisho!
manake kwa watanzania utakesha jibu hupati
kwa ushauri zaidi nenda kwa daktari wa mambo ya saikolojia anaweza kukusaidia zaidi
Afu wewe bana........nashukuru kwa ushauri wako ndugu, naomba website mojawapo tafadhali