Labda wa enzi za mwl, siku hizi wamechanganya damu wako vizuri kote kote.Mkuu kwa sura zao nakubaliana na wewe ila kata kitovuni shuka chini ni balaa wengi ni flat screen na wamenyimwa usafiri
Wa kwanza kushoto ni Maria anasoma UDSM mwaka wa 2..
HONGERENI SANA NA MUMSHUKURU MUNGU KUWAPENDELEA
Usione usoni ukaaminin, subiri wakupe mgongo uone chimbuko la vinasaba vya wahindi..
HONGERENI SANA NA MUMSHUKURU MUNGU KUWAPENDELEA
sio machame, ''the murderers''Marangu moja hiyo
Kwenye flat screenKwani urembo wa Mwanamke upo wapi
Tukiona sura za kwetu tunazijua mkuu tuna scanner automatic zina detect wa kwetuTutajuaje kama kweli hao ni wachaga
aka flat ....................Usione usoni ukaaminin, subiri wakupe mgongo uone chimbuko la vinasaba vya wahindi..
Kumbe, ndo maana wachaga ni waremboKwenye flat screen
Mmmh!!Wa kwanza kushoto ni Maria anasoma UDSM mwaka wa 2..
wa kati ni Aika;air hostess ATCL na wa3 ni Queen,ameolewa na mSweden na makazi yao ni Nairobi
Huoni walivyo wazuri.Tutajuaje kama kweli hao ni wachaga
Hatujui kakaKwani urembo wa Mwanamke upo wapi
HahahahaUsione usoni ukaaminin, subiri wakupe mgongo uone chimbuko la vinasaba vya wahindi..
OkayHuoni walivyo wazuri.