Dadio
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 359
- 42
Kama umeolewa na ni mwana jf, tueleze kwa umakini kwa niniwengi wenu mnabadilika mara baada ya kuolewa na kuwachukia ndugu hasa pande za waume wenu? Na sema wakina mama nikiwa na mifano hai hasa kwa watu wa karibu yangu. Inafikia hata kumnyima chakula ndugu wa mumeo? Kwa kisingizio chakula hamna wakat kipo? Mnanikera sana. Kama wewe ni mwanamke tuambie. Mmeniuzi sana.