wanawake walio single naitaji ukaribu wenu!

Imany John

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Posts
2,935
Reaction score
1,185
Salaam.
Nachukua mda huu kuwaomba wanawake wote walio single,
Waweze kuwasiliana nami humu,ili niweze kupata pair inayonifaa.

Natanguliza shukrani.
Natamani kumpata yule mkweli,nitakae share nae huzuni na furaha,matamu na machungu,shida na raha pia.

kaka nenda facebook huku unapoteza muda tu kaka. hebu jaribu link hizi:
Rinee Belle | Facebook
Jesca Tarimo | Facebook

jaribu kuklik hizo kisha omba urafiki kaka. facebook utawakimbia mwenyewe huku utapoteza muda tu

Salaam.

Nachukua mda huu kuwaomba wanawake wote walio single,

Waweze kuwasiliana nami humu,ili niweze kupata pair inayonifaa.

Natanguliza shukrani.

Natamani kumpata yule mkweli,nitakae share nae huzuni na furaha,matamu na machungu,shida na raha pia.

wanawake walio single? Inamaana walioachika, wajane, ambao hawajawahi kuolewa kabisa, ama??

Mwehhhh

Lizy twines?????

Ebu elezea zaidi hapo....

Mhh afro mbna mwing wa habr?
Nadhan ujumbe umefka

Back
Top Bottom