Imany John
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 2,935
- 1,185
Salaam.
Nachukua mda huu kuwaomba wanawake wote walio single,
Waweze kuwasiliana nami humu,ili niweze kupata pair inayonifaa.
Natanguliza shukrani.
Natamani kumpata yule mkweli,nitakae share nae huzuni na furaha,matamu na machungu,shida na raha pia.
mwache bwana welcome brother ila hatutaki masharobaro hapakaka nenda facebook huku unapoteza muda tu kaka. hebu jaribu link hizi:
Rinee Belle | Facebook
Jesca Tarimo | Facebook
jaribu kuklik hizo kisha omba urafiki kaka. facebook utawakimbia mwenyewe huku utapoteza muda tu

mwache bwana welcome brother ila hatutaki masharobaro hapa

Salaam.

Nachukua mda huu kuwaomba wanawake wote walio single,

Waweze kuwasiliana nami humu,ili niweze kupata pair inayonifaa.

Natanguliza shukrani.

Natamani kumpata yule mkweli,nitakae share nae huzuni na furaha,matamu na machungu,shida na raha pia.

Thenk yoo lizy twines.

Mwehhhh

Lizy twines?????

Ebu elezea zaidi hapo....