Engager JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 1,522 Reaction score 3,255 Jan 14, 2024 #1 Sijui hichi kidokezo kitamfaa nani ila kichukue tuu ukae nacho kama mwongozo wa maisha yako. Huenda kesho kitakufaa. Hawa wanawake akikopa hela hakulipi, na hachelewi kukuporomoshea matusi akiona unazidi kumdai.
Sijui hichi kidokezo kitamfaa nani ila kichukue tuu ukae nacho kama mwongozo wa maisha yako. Huenda kesho kitakufaa. Hawa wanawake akikopa hela hakulipi, na hachelewi kukuporomoshea matusi akiona unazidi kumdai.
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Jan 14, 2024 #2 ππππ π π Mkorogo Imekuwa Alama Muhimu Kwenye Ulipaji Madeni
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Jan 14, 2024 #3 na hawa wenye vipini wana sifa gaNi
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 18,611 Reaction score 27,615 Jan 14, 2024 #4 Muwe mnaangalia watu wa kukopeshwa, vinginevyo wapeni bure kuwasaidia tu
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 28,916 Reaction score 40,479 Jan 14, 2024 #5 Engager said: Sijui hichi kidokezo kitamfaa nani ila kichukue tuu ukae nacho kama mwongozo wa maisha yako. Huenda kesho kitakufaa. Hawa wanawake akikopa hela hakulipi, na hachelewi kukuporomoshea matusi akiona unazidi kumdai. Click to expand... Usiombe awe Mwislam
Engager said: Sijui hichi kidokezo kitamfaa nani ila kichukue tuu ukae nacho kama mwongozo wa maisha yako. Huenda kesho kitakufaa. Hawa wanawake akikopa hela hakulipi, na hachelewi kukuporomoshea matusi akiona unazidi kumdai. Click to expand... Usiombe awe Mwislam
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 23,322 Reaction score 64,738 Jan 14, 2024 #6 Apo tanga huwaambii wamama kitu kuhusu mkorogo.
Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,058 Reaction score 14,382 Jan 14, 2024 #7 Pia wanahasira sana. KaziKweliKweli/JobTrueTrue